POLISI TANZANIA YAACHANA NA WACHEZAJI WAKE 13 PAMOJA NA KUWAREJESHA KWENYE KLABU WOTE ILIYOKUWA INAWATUMIA KWA MKOPO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

POLISI TANZANIA YAACHANA NA WACHEZAJI WAKE 13 PAMOJA NA KUWAREJESHA KWENYE KLABU WOTE ILIYOKUWA INAWATUMIA KWA MKOPO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Polisi Tanzania imetangaza kuachana na wachezaji wake 13 pamoja na kuwarejesha kwenye klabu zao nyota wote iliyokuwa inawatumia kwa mkopo baada ya msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikimaliza nafasi ya sita.
Afisa Habari na Mawasiliano wa Polisi Tanzania, Hassan Juma amewataja wachezaji hao kuwa ni Marcel Kaheza, Mohamed Bakari, Mohammed Yussuf, Mohammed Kassim, Ramadhani Kapele, Pato Ngonyani, Pius Buswita, Jimmy Shoji, Joseph Kimwaga, George Mpole, Emmanuel Manyanda, Erick Msagati na Hassan Nassor. 
Katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari, Polisi Tanzania imesema kuelekea msimu ujao itasajili wachezaji wapya wanane tu na kufanya jumla ya kikosi cha wachezaji 27, pamoja na 19 waliobaki sasa.


Polisi Tanzania imemaliza nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kukusanya pointi 45 kwenye mechi 34 za msimu, nyuma ya KMC 48, Biashara United 50, Azam FC 68, Yanga SC 74 na mabingwa, Simba SC 83. 

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz