Pacha wa Manara azua taharuki uwanjani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Pacha wa Manara azua taharuki uwanjani-Michezoni leo

DUNIANI wawili, hilo lilionekana dhahiri kwa shabiki wa Yanga ambaye alikuwa anafanana kila kitu na msemaji wa Simba Haji Manara.

Jamaa huyo ambaye anatambulika kwa jina la Injinia yupo kila kitu kama Manara. Mashabiki wa Yanga na wale wa Simba walionekana kuduwaza na muonekano wa jamaa huyo ambaye alionekana ni mtu mwenye pesa nyingi.

Akizungumza na Championi Jumatatu Injinia alisema: “Mimi sitaki kuzungumzia Manara hapa, ingawa najua yeye ni Yanga damu kabisa na yupo Simba kwa ajili ya maslahi yake na maisha binafsi.

“Mimi ni Injinia na yeye ni Manara hivyo watu wasitufananishe kabisa.”

ISSA LIPONDA, Dar es Salaam

The post Pacha wa Manara azua taharuki uwanjani appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz