NYOTA WA CRYSTAL PALACE, CHRISTIAN BENTEKE AJA TANZANIA KUJIFARIJI BAADA YA UBELGIJI KUTOLEWA EURO 2020-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NYOTA WA CRYSTAL PALACE, CHRISTIAN BENTEKE AJA TANZANIA KUJIFARIJI BAADA YA UBELGIJI KUTOLEWA EURO 2020-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MSHAMBULIAJI wa Crystal Palace ya England, Christian Benteke yuko nchini Tanzania kwa Mapumziko baada ya Ubelgiji kutolewa kwenye michuano ya Euro 2020.
Benteke alionekana akipiga picha na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika lango kuu la kuingia katika hifadhi hiyo.
Ujio wa mchezaji huyo mzaliwa wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unakuja wakati shughuli za utalii zimeboreshwa nchini jambo ambalo linaendelea kusisitiza kuwa Tanzania ni salama kwa ajili ya shughuli za utalii kwa wageni.


Benteke anakuja nchini siku tatu tu baada ya Ubelgiji kutolewa kwenye michuano ya Euro 2020 baada ya kufungwa 2-1 na Italia katika Robo Fainali.
Benteke ni miongoni mwa wachezaji waliokuwemo kwenye kikosi cha Ubelgiji kwenye michuano hiyo inayoendelea ikiwa imefika katika hatua ya Nusu Fainali.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz