Niyonzima Kuagwa kwa Heshima Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Niyonzima Kuagwa kwa Heshima Yanga-Michezoni leo

Kiungo wa mpira mtoto wa Gisenyi Rwanda, Haruna Niyonzima ataagwa rasmi na klabu yake ya Yanga kwenye mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Ihefu SC, dimbani Benjamin Mkapa Alhamisi ya Julai 15, 2021.

 

Kiungo huyo alitua nchini na kuanza kuitumikia Yanga kwenye msimu wa mwaka 2011/2012 na kufanikiwa kutwaa mataji manne ya Ligi Kuu akiwa na Yanga SC na mawili akiwa na Simba SC.

 

Wenyewe Yanga wamepanga kuutumia mtanange wao wa Alhamisi ya Julai 15, kumuaga Mnyarwanda huyo huku Ihefu nao wakiutamani mchezo huo kwaajili ya kujitetea na lindi la kushuka daraja.

 

Kwa sasa Ihefu ina alama 35 kwenye msimamo wa ligi ikiwa nafasi ya 15, huku waliopo chini yake ni Gwambina FC na Coastal Union wenye pointi 34 kila timu.

 

Ihefu inazihitaji alama tatu kutoka kwa Yanga SC hapo Alhamisi ili kuzivuta shati Mbeya City na JKT Tanzania wenye pointi 36 kila moja.

 

Yanga tunahitaji kushinda mtanange huo ili kumuaga vema kiungo huyo aliyerejea klabuni hapo Januari, 2020 nyakati za dirisha dogo na mechi yake ya kwanza ilikuwa ni dhidi ya Simba Januari 4, 2020, iliyomalizika kwa sare ya 2-2.

 

The post Niyonzima Kuagwa kwa Heshima Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz