NABI AWAANZISHA PAMOJA KISINDA, YACOUBA SOGNE NA FEISAL SALUM DHIDI YA SIMBA SC FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP LEO LAKE TANGANYIKA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

NABI AWAANZISHA PAMOJA KISINDA, YACOUBA SOGNE NA FEISAL SALUM DHIDI YA SIMBA SC FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP LEO LAKE TANGANYIKA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KOCHA Mtunisia wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amewaanzisha pamoja viungo washambuliaji, Mkongo Tuisila Kisinda, Mburkinabe Yacouba Sogne na mzawa, Feisal Salum katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Mchezo huo unatarajiwa kuanza Saa 10:00 jioni na kuonyeshwa moja kwa moja na chaneli ya Azam Sports 1 HD ya Azam TV.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz