Mugalu Arejea Kuivaa Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Mugalu Arejea Kuivaa Yanga-Michezoni leo

MSHAMBULIAJIwa Simba, raia wa DR Congo Chriss Mugalu, amerejea kuwavaa Yanga hii ni baada ya kukosa mechi mbili zilizopita kutokana na kuwa na maumivu ya msuli.

Mugalu ambaye mpaka sasa ana mabao 10 kwenye msimamo wa wafungaji bora Ligi Kuu Bara, aliumia mguu kwenye mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ulioisha kwa Simba kushinda bao 1-0.

Akizungumza na Championi Jumatano, Daktari Mkuu wa Simba, Yassin Gembe amesema kuwa: “Hali ya Mugalu ipo vizuri kwa sasa na ameanza mazoezi na wenzake, yupo katika hali nzuri na ni chaguzi ya kocha kutaka kumtumia.

“Kwa sasa hatuna majeruhi hata mmoja wachezaji wote wapo sawa kuelekea mchezo dhidi ya Yanga.”Wikiendi hii, Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

STORI: CAREEN OSCAR,Dar es Salaam

The post Mugalu Arejea Kuivaa Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz