MSAFARA WA YANGA SC ULIOPO KIGOMA KWA AJILI YA FAINALI YA KOMBE LA TFF WAWATEMBELEA YATIMA NA KUWAFARIJI KWA ZAWADI MBALIMBALI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MSAFARA WA YANGA SC ULIOPO KIGOMA KWA AJILI YA FAINALI YA KOMBE LA TFF WAWATEMBELEA YATIMA NA KUWAFARIJI KWA ZAWADI MBALIMBALI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSAFARA wa kikosi cha Yanga SC uliopo Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) leo umetembelea vituo vya kulea watoto Yatima vya Amokachi na Subira Mina Rahman na kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika vituo hivyo.

Yanga SC Jumapili itamenyana na watani wao wa jadi, Simba SC Fainali ya Azam Sports Federation Cup Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz