MILWAUKEE BUCKS YATINGA FAINALI YA YA KWANZA TANGU 1974-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MILWAUKEE BUCKS YATINGA FAINALI YA YA KWANZA TANGU 1974-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 LICHA ya kumkosa MVP mara mbili, Giannis Antetokounmpo, Milwaukee Bucks imetinga Fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani, maarufu kama NBA kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1974 baada ya kuichapa Atlanta Hawks 118-107 katika Game 6 ya fainali ya Eastern Conference Alfajiri ya leo.
Ushindi huo umetokana na mchango mkubwa wa Khris Middleton aliyefunga pointi 32, zikiwemo pointi 16 mfululizo katika kota ya tatu iliyoamua mchezo.
Kwa matokeo hayo, Milwaukee inatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa series 4-2 na itakutana na Phoenix Suns, washindi wa West – Game 1 ya kwanza itakuwa Alfajiri ya Jumatano huko Phoenix.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz