Michezo Ya Olympics Kuendelea Wikiendi Hii-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Michezo Ya Olympics Kuendelea Wikiendi Hii-Michezoni leo

Mashindano ya Olympics 2020 yanaendelea kuchanja mbuga kunako soka la wanawake na wanaume kwa vijana U23, hatua ya makundi inaendelea kutoa burudani. Ligi mbalimbali pia zinaendelea katika nchi kadhaa barani Ulaya. Wikiendi hii, mambo yapo hivi;

 

Ijumaa hii kule Ubelgiji kutakua na mchezo wa Standard Liege vs Genk kunako Ligi soka nchini humo – Division 1. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.40 kwa Genk.

 

Jumamosi kutachezwa mchezo kati ya Rubin Kazan vs Spartak Moscow kule nchini Urusi. Huu ni mchezo ambao unazikutanisha timu mbili zenye historia kubwa kwenye soka la nchi hiyo na dakika 90 zinaweza kukutoa kimasomaso. Ifuate Odds ya 2.30 kwa Moscow kwenye mchezo huu.

 

Kwenye soka la wanawake kunako mashindano ya Olympics – Uholanzi watachuana na Brazil. Timu zote zimeanza mashindano kwa matokeo ya ushindi mnono lakini mambo yatakuaje zitakapochuana zenyewe wikiendi hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Uholanzi.

 

Jumapili kutachezwa mchezo kati ya Misri vs Argentina kwa upande wa soka la wanaume. Vijana wa umri chini ya miaka 23 kuzipeperusha bendera za nchi zao, hakika Olympics mwaka huu ni ubingwa tu!! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.60 kwa Argentina wikiendi hii.

 

Tutaianza wiki kwa mchezo wa Ligi soka nchini Denmark – Sonderjsyske vs Vejle kuchuana Jumatatu wiki iyao. Ukiwa na Meridianbet, kila mchezo ni faida kwako – ifuate Odds ya 2.25 kwa Sonderjsyske jumatatu hii.

 

Karibu ubashiri na Nyumba ya Mabingwa!

The post Michezo Ya Olympics Kuendelea Wikiendi Hii appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz