Makambo Aachana na Horoya-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Makambo Aachana na Horoya-Michezoni leo

MSHAMBULIAJI Heritier Makambo ameachana na klabu yake ya Horoya inayoshiriki Ligi Kuu nchini Guinea baada ya makubaliano ya pande zote mbili kufanyika.

Makambo alisajiliwa na Horoya kwa mkataba wa miaka mitatu na mpaka sasa alikuwa ameitumikia timu hiyo kwa misimu miwili tu.

Kuvunjwa kwa mkataba huo ni taarifa nzuri kwa mabosi wa Yanga ambao inaelezwa wamekuwa wanahitaji mchezaji huyo arejee katika kikosi chao.

Ilielezwa Yanga walipeleka ombi la kuhitaji kumsajili mchezaji huyo lakini ilishindikana kutokana na mabosi wa Horoya kuhitaji pesa nyingi.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram ya klabu ya Horoya ulimshukuru Makambo kwa kuwa nae kwa misimu miwili mfululizo na kumtakia kila la kheri.

“Ahsante (MercΓ¬) kwa misimu miwili tangu ulivyofika, tunakutakia kila la kheri katika kipaji chako,” ilieleza taarifa hiyo.

GOMES Ataja SILAHA za KUIMALIZA YANGA, YANGA Yajibu MAPIGO, | KROSI DONGO…

The post Makambo Aachana na Horoya appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz