Makalla Kuwakabidhi Kombe Simba Uwanja wa Mkapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Makalla Kuwakabidhi Kombe Simba Uwanja wa Mkapa-Michezoni leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Simba dhidi ya Namungo FC utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.

Baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliopangwa kuanza 10:00 jioni, itafanyika sherehe fupi ya kukabidhi Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom 2020/2021 zoezi ambalo linatarajiwa kuongozwa na Makalla.

Simba walitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Julai 11 baada kufikisha alama 79 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 walioupata dhidi ya Coastal Union FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na kujihakikishia alama hizo ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

The post Makalla Kuwakabidhi Kombe Simba Uwanja wa Mkapa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz