Madrid Kumuuza Varane Manchester United-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Madrid Kumuuza Varane Manchester United-Michezoni leo

KLABU ya Real Madrid, imesema haitamuongezea mkataba beki wake, Raphael Varane, huku ikiwa na mpango wa kumuuza nyota huyo kwa pauni 43m.

Varane kwa sasa anatajwa kuwa kwenye mazungumzo na Klabu ya Manchester United, huku kocha wa timu hiyo, Ole Gunnar Solskjaer akionekana kukomalia dili hilo, kama akishindwa basi watageukia kwa Pau Torres wa Villarreal.

Man United kwa sasa inasaka beki ambaye atakuwa msaada kwenye safu yao ya ulinzi akisaidiana na Harry Maguire, hiyo ni baada ya Victor Lindelof kuonekana hajawafiti.

Kuondoka kwa Varane ndani ya Madrid, litakuwa pigo lingine kwao ikiwa ni baada ya Sergio Ramos kumaliza mkataba wake na kuagwa.

The post Madrid Kumuuza Varane Manchester United appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz