Live: Mzee Mpili Anazindua Jambo Lake Muda Huu Dar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Live: Mzee Mpili Anazindua Jambo Lake Muda Huu Dar-Michezoni leo

SHABIKI maarufu wa Klabu ya Yanga, Mzee Haji Omari maarufu kama ‘Mzee Mpili’ amempa zawadi ya tisheti Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ikiwa ni shukrani baada ya kumtimizia ahadi yake ya Tsh milioni 1.

Mzee Mpili amesema hayo leo Julai 15, mbele ya vyombo vya habari wakati akizindua Brandi yake ya ‘Sisi Tuna Watu’ ambapo atakuwa akiuza tisheti ni vitu vingine.

“Hii tisheti nimempa mjukuu wangu Haji Manara, amenifanyia mambo makubwa, amenipeleka mpaka kwake, kwa hiyo nimeona nimkirimia tisheti hii yenye rangi ya Simba (nyekundu).”

Kuna tisheti za rangi mbalimbali hasa Kijani na Njano ambazo tumetengeneza, lakini nyekundu hii moja tu ya Haji Manara, Mimi sitengenezi ya Simba, miiko yetu hairuhusu.

The post Live: Mzee Mpili Anazindua Jambo Lake Muda Huu Dar appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz