Lingard Kutimkia Atletico-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Lingard Kutimkia Atletico-Michezoni leo

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Jesse Lingard anawindwa na timu ya Atletico Madrid, na kuna uwezekano mkubwa timu hiyo ikamuuza.

Kinda huyo alifanikiwa kuonyesha kiwango cha juu akiwa na West Ham msimu uliopita, na aliaminika kuwa anaweza kubaki kwenye timu hiyo lakini United wamegoma.

Atletico wamepeleka ofa ya kumtaka mchezaji huyo mwenye uwezo wa juu wa kufunga mabao, wakiwa wanaamini kuwa anaweza kuwasaidia msimu ujao.

Timu hiyo chini ya kocha Diego Simeone imepeleka ofa mara mbili kwa ajili ya mchezaji huyo, ambaye pia amepelekewa ofa ya West Ham.

United wanataka kitita cha pauni milioni 15 kwa ajili ya mchezaji huyo, lakini tayari Atletico wamepeleka ofa ya milioni 10, huku West Ham wakiishia milioni 8.

The post Lingard Kutimkia Atletico appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz