KOPE MUTSHIMBA MUGALU AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI BAADA YA KUWABWAGA ILAMFYA WA KMC NA LUIZIO WA MBEYA CITY-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

KOPE MUTSHIMBA MUGALU AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI BAADA YA KUWABWAGA ILAMFYA WA KMC NA LUIZIO WA MBEYA CITY-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Mkongo Chris Kope Mugalu amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya kuwashinda Charles Ilamfya wa KMC Juma Luizio wa Mbeya City.
Mugalu amekuwa na mwezi mzuri, Julai baada ya kufunga mabao matano katika mechi zote tano ambazo timu yake ilicheza mwezi huo, ikizifunga Coastal Union 2-0, Namungo FC 4-0, KMC 2-0, sare ya 1-1 na Azam na kufungwa 1-0 na Yanga.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz