Kitawaka Waliooa na Wasiooa Leo Uwanja wa Kenton, Sinza-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kitawaka Waliooa na Wasiooa Leo Uwanja wa Kenton, Sinza-Michezoni leo

KAMPUNI ya Euromax wanaotengeneza kinywaji cha Smart Gin na Kampuni ya Creative Bee kwa pamoja wamekabidhi jezi za mchezo wa Waliooa na Wasiooa kwa wafanyakazi wa Global Group unaotarajiwa kupigwa leo Ijumaa kwenye Uwanja shule ya Kenton Iliyopo Afrikasana, Dar.

Kinywaji cha Smart Gin na Creative Bee ndiyo
wamedhamini mchezo huo kwa upande wa vifaa vya michezo.Jezi hizo za timu zote mbili zilikabidhiwa jana katika kipindi cha michezo cha Krosi Dongo kinachorushwa mubashara na +255 Global Radio na Global Tv Online.

Aidha, Kampuni ya Tukuyu Spring Water inayojishughulisha na uzalishaji maji ya kunywa jana pia ilikabidhi maji katoni 17.Mbali ya hapo, Kampuni ya Tukuyu imeahidi kutoa fulana maalumu kwa timu ya Wasiooa.

The post Kitawaka Waliooa na Wasiooa Leo Uwanja wa Kenton, Sinza appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz