KIKOSI CHA YANGA SC CHAWASILI KIGOMA MAPEMA TAYARI KWA FAINALI YA ASFC DHIDI YA MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC JUMAPILI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KIKOSI CHA YANGA SC CHAWASILI KIGOMA MAPEMA TAYARI KWA FAINALI YA ASFC DHIDI YA MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC JUMAPILI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

 KIKOSI cha Yanga SC kimewasili salama Kigoma kwa ndege mapema leo kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika. 


Mamia ya mashabiki walijitokeza kuupokea msafara huo Uwanja wa Ndege na kuipeleka kambini kwa maandamano yaliyoongozwa na pikipiki maarufu kama Boda Boda

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz