Kesi Zuio la Uchaguzi TFF Yatupiliwa Mbali-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kesi Zuio la Uchaguzi TFF Yatupiliwa Mbali-Michezoni leo

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, jana Ijumaa ilitupilia mbali maombi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yaliyowasilishwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais, Ally Saleh.

Mahakama hiyo ilitoa uamuzi wa kutupilia mbali kesi ya kuzuia uchaguzi huo ambao umepangwa kufanyika Agosti 7, mwaka huu jijini Tanga.

Ally Saleh alifungua kesi hiyo dhidi ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF na Wajumbe wa Bodi.Ikumbukwe kuwa, mara baada ya mchakato wa usaili kumalizika na rais wa sasa wa TFF, Wallace Karia kubaki peke yake kwenye kuwania nafasi hiyo, ndipo ikafunguliwa kesi hiyo ya kuzuiwa kwa uchaguzi.

Mbali ya nafasi ya urais, kuna nafasi sita za kamati ya utendaji zinawaniwa.

The post Kesi Zuio la Uchaguzi TFF Yatupiliwa Mbali appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz