KANE AIPELEKA ENGLAND FAINALI EURO 2020 BAADA YA KUIPIHA DENMARK 2-1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KANE AIPELEKA ENGLAND FAINALI EURO 2020 BAADA YA KUIPIHA DENMARK 2-1-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
ENGLAND imetinga fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Denmark katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 Uwanja wa Wembley Jijini London.
Pamoja na Denmark kutangulia kwa bao la kiungo wa Sampdoria, Mikkel Damsgaard dakika ya 30, lakini beki wa AC Milan, Simon KjĂŚr akajifunga dakika ya 39 akijaribu kuokoa mpira wa mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Stering kuipatia England bao la kusawazisha.
Zikaongezwa dakika 30 baada ya kutimia dakika 90 na ndipo mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akaifungia bao la ushindi England dakika ya 104 akimalizia mpira uliookolewa na kipa wa Leicester City, Kasper Peter Schmeichel baada ya yeye mwenyewe kupiga penalti kufuatia Sterling kuangushwa kwenye boksi.


Inakuwa mara ya kwanza Three Lions kuingia fainali ya michuano mikubwa tangu walipofika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 1966 na watakutana na Italia Jumapili hapo hapo Wembley.
Ikumbukwe Italia iliitoa Hispania usiku wa kuamkia leo hapo hapo Wembley kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz