John Bocco Asepa Na Tuzo Ya Mchezaji Bora-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

John Bocco Asepa Na Tuzo Ya Mchezaji Bora-Michezoni leo

JOHN Bocco kinara wa mabao ndani ya ardhi ya Bongo amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Juni.

Bocco ametupia mabao 15 anafuatiwa na Prince Dube mwenye mabao 14 ila anakipiga Azam FC.

Ndani ya mwezi Juni, Bocco alitupia mabao matatu baada ya Simba kucheza mechi tatu na ilishinda mechi zote hizo na kubaki nafasi ya kwanza.

Aliwashinda wachezaji wenzake wawili ambao aliingia nao fainali ambao ni Feisal Salum wa Yanga pamoja na Idd Seleman wa Azam FC.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa leo Julai 16 na Bodi ya Ligi Tanzania.

The post John Bocco Asepa Na Tuzo Ya Mchezaji Bora appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz