Joakim Low Aachia Ngazi Ujerumani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Joakim Low Aachia Ngazi Ujerumani-Michezoni leo

BAADA ya Ujerumani kutupwa nje kwenye Michuano ya Euro 2020 kufuatia kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Uingereza katika hatua ya 16 bora, kocha wa Timu ya Taifa ya Ujerumani, Joakim Low ameachia ngazi, Low ameiongoza timu hiyo kwa miaka 15 na kufanikiwa kutwaa Kombe la Dunia 2014.

Alichokisema Joakim Low baada ya kuachia ngazi; “Imekuwa miaka 15 mirefu na yenye wakati mzuri sana, kwa kweli, lakini kuna baadhi ni ya kukatisha tamaa.

“Timu na wachezaji wana hatma nzuri mbele yao. Bahati nzuri kwa Hansi Flick (kocha mpya), namtakia kila la heri, moyo wangu unaendelea kudunda kwenye rangi nyeusi, nyekundu na dhahabu.”

Stori: Sifael Paul

The post Joakim Low Aachia Ngazi Ujerumani appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz