Italy Yaitungua Spain na Kutinga Fainali ya Euro 2020-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Italy Yaitungua Spain na Kutinga Fainali ya Euro 2020-Michezoni leo

Timu ya Taifa ya Italia imefanikiwa kutinga Fainali ya michuano ya Euro 2020 baada ya kuiondosha Hispania kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia kutoshana nguvu katika dakika 120 za mchezo wa nusu Fainali uliopigwa jana usiku, Julai 6, 2021 katika dimba la Wembley jijini London nchini Uingereza.

Hispania walionekana ku-dominate mchezo kuanzia kipindi cha kwanza mpaka mwisho wa game lakini kwa nyakati tofauti timu zote mbili zilishambuliana ambapo mpaka dakika 45 za kwanza zinatamatika timu zote zilikuwa hazijafungana.

Italia walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Federico Chiesa dakika ya 60 huku Hispania wakisawadhisha kunako dakika ya 80 ya mchezo kupitia kwa Alvaro Morata ambapo mpaka dakika 90 zinatamatika timu zote zilikuwa sare ya bao 1-1.

Dakika 30 ziliongezwa lakini mpaka zinatamatika timu zote zilikuwa sare ya bao 1-1 ndipo matuta yakatengwa kuamua mshindi.

Baada ya Italy kuibuka washindi sasa watakutana katika fainali ya Euro 2020 na mshindi atakayepatikana katika mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Denmark na Uingereza itakayopigwa leo Julai 7, 2021 saa 4:00 usiku katika Dimba hilo hilo la Wembley.

The post Italy Yaitungua Spain na Kutinga Fainali ya Euro 2020 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz