Guardiola Anamtaka Harry Kane-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Guardiola Anamtaka Harry Kane-Michezoni leo

KOCHA Pep Guardiola amefunguka kuwa mpango wake ni kumsajili staa wa Tottenham, Harry Kane ila wanahitaji kuona dau lake linapunguzwa. Tottenham wao wametajwa kutaka kiasi cha zaidi ya pauni 100m ndipo Kane ataondoka ndani ya kikosi hicho japo klabu hiyo haitaki kumuachia.

 

Man City wanataka kumsajili Kane kama mbadala wa Sergio Aguero ambaye ameondoka ndani ya kikosi hicho na alikuwa ndiye mfungaji bora wa muda wote kikosini hapo.

Mbali na Man City kumtaka Kane lakini pia ilijaribu kupata saini ya Erling Haaland wa Dortmund ambako nako walitajiwa kiasi cha pauni 140m kumsajili dili hilo wameweka kando.Guardiola amesema kama watashindwa kumpata Kane basi watatumia wachezaji wa akademi kwani hali ya uchumi sio nzuri kwa sasa.

 

“Kwa bei yake (Kane) itakuwa ngumu japo sio kila straika tunaweza kumnunua, ila kwa upande wake itakuwa ngumu kufanya hivyo.

 

Kwa sasa klabu inapitia kipindi kigumu kiuchumi hawatakubali hilo. Hata hivyo tuna Gabriel (Jesus) na Ferran (Torres) watacheza nafasi ya ushambuliaji tu.“Lakini pia ndani ya akademi yetu kuna wachezaji wengi ambao wanacheza kama namba tisa kama tutashindwa kununua straika tutawatumia hao.”

The post Guardiola Anamtaka Harry Kane appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz