GIROUD ATUA AC MILAN BAADA YA MIAKA MITATU NA NUSU CHELSEA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

GIROUD ATUA AC MILAN BAADA YA MIAKA MITATU NA NUSU CHELSEA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MSHAMBULIAJI Mfaransa, Olivier Jonathan Giroud amejiunga na AC Milan baada ya miaka mitatu na nusu ya kuwa na Chelsea.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 na mshindi wa Kombe la Dunia, anaondoka  Stamford Bridge alikotua Januari 2018 akitoka Arsenal ambako alidumu kwa miaka mitano na nusu.
Alipokuwa na Chelsea, Giroud ameshinda mataji ya Kombe la FA, Europa League na Ligi ya Mabingwa katika mechi  119 alizocheza na kufunga mabao 39.
Na wakati alipokuwa Arsenal alishinda mataji matatu ya FA  katika mechi 253 na kufunga mabao 105.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz