DEPAY ATAMBULISHWA BARCELONA BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

DEPAY ATAMBULISHWA BARCELONA BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WINGA wa kimafaifa wa Uholanzi, Memphis Depay ametambulishwa Barcelona baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba wake
Lyon ya Ufaransa. 
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 aliyefurahi kujiunga na Barca acheze na Lionel Messi, anakwenda kufanya kazi tena na kocha Ronald Koeman, ambaye amewahi kumfundisha katika timu ya taifa ya Uholanzi.
Na anakuwa mchezaji mpya wa nne kusajiliwa na vigogo hao wa Hispania baada ya Sergio Aguero na Eric Garcia, amabo pia wametua Camp Nou kama wachezaji huru kufuatia kuondoka Manchester City, na Emerson Royal.
Mchezaji huyo wa zamani wa PSV na Manchester United amelazimika kukubali mshahara pungufu kwa asilimia 30, yaani kutoka kulipwa Pauni Milioni 7 hadi Milioni 5.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz