Colombia Mshindi wa Tatu Copa America-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Colombia Mshindi wa Tatu Copa America-Michezoni leo

MCHEZO wa kumtafuta mshindi wa tatu wa Michuano ya Copa America 2021 uliopigwa kwenye Uwanja Estadio Nacional de Brasilia nchini Brazil, usiku wa kuamkia leo, umeshuhudia Colombia wakiibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Peru na kuibuka washindi wa tatu, na hii ni mara ya tano kwenye historia ya Copa America.

Fainali ya Copa America itapigwa usiku wa leo saa tisa kamili kwenye Dimba la Maracana ambapo Neymar na Messi watakuwa na kibarua kizito cha kuongoza timu zao pale Brazil wakimenyana na Argentina.

The post Colombia Mshindi wa Tatu Copa America appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz