CECACA YABADILI MPANGILIO KOMBE LA KAGAME, SASA NI MAKUNDI MAWILI YANGA WAPO A, AZAM FC B-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CECACA YABADILI MPANGILIO KOMBE LA KAGAME, SASA NI MAKUNDI MAWILI YANGA WAPO A, AZAM FC B-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BARAZA la Soka Afrika Mashariki na Kati limefanya marekebisho michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kamgame sasa kutakuwa na makundi mawili badala ya matafu.
Kundi A sasa litaundwa na timu za Yanga SC. Nyasa Big Bullet ya Malawi, Express ya Uganda na Atlabara ya Sudan Kusini, wakati kuna Azam FC, KCCA ya Uganda,  Le Massager Ngozi ya Burundi na KMKM ya Zanzibar.
Michuano hiyo itaanza Agosti 1 hadi Agosti 14 Jijini Dar es Salaam, ingawa mabingwa wa Tanzania kwa miaka minne mfululizo, Simba SC wamejitoa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz