BUCKS YAIBWAGA PHOENIX SUNS 123-119 MECHI YA TANO FAINALI NBA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

BUCKS YAIBWAGA PHOENIX SUNS 123-119 MECHI YA TANO FAINALI NBA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Milwaukee Bucks imeibuka na ushindi wa 123-119 dhidi ya Phoenix Suns katika mechi ya tano ya Fainali za Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) Alfajiri ya leo ukumbi wa  Footprint Center, Phoenix, Arizona. 
Pongezi kwao, Giannis Antetokounmpo aliyefunga pointi 32, rebounds tisa na assists sita, Khris Middleton pointi 29 na Jrue Holiday pointi 27 na assists 13.
Sasa Milwaukee Bucks inaongoza kwa ushindi wa mechi 3-2 baada ya mwanzo mzuri wa Phoenix Suns kuongoza 2-0 baada ya mechi mbili za mwanzi na wakishinda mechi ya sita Alfajiri ya Jumatano nyumbani, watatwaa taji la kwanza la NBA 1971.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz