BRAZIL YATINGA FAINALI COPA AMERICA, YAISUBIRI ARGENTINA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BRAZIL YATINGA FAINALI COPA AMERICA, YAISUBIRI ARGENTINA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya taifa ya Brazil imefanikiwa kutinga fainali ya Copa America baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Peru katika mchezo wa Nusu Fainali usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Nilton Santos Jijini Rio de Janeiro.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo wa Lyon ya Ufaransa, Lucas Paquetรก dakika ya 35 akimalizia pasi ya nyota mwenzake wa Ligue 1, Neymar wa PSG.
Brazil sasa itakutana na mshindi kati ya Argentina na Colombia zinazomenyana usiku wa kuamkia kesho na fainali itachezwa Jumapili.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz