BODI YA LIGI YASOGEZA MBELE KWA SIKU MOJA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU BAADA YA POLISI TANZANIA KUPATA AJALI JUZI MOSHI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BODI YA LIGI YASOGEZA MBELE KWA SIKU MOJA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU BAADA YA POLISI TANZANIA KUPATA AJALI JUZI MOSHI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BODI ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imesogeza mbele kwa siku moja mechi zote za Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Jumatano hadi Alhamisi wiki ijayo.
Hatua hiyo inafuatia ombi la Polisi Tanzania kufuatia basi la wachezaji wake kupata ajali juzi asubuhi wakitokea mazoezini mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na TPLB imehofia upangaji wa matokeo kuahirisha mchezo mmoja pekee unaoihusu timu hiyo.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz