Beki Matata Afungukia Usajili Wake Simba, Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Beki Matata Afungukia Usajili Wake Simba, Yanga-Michezoni leo

BEKI wa Kati na Nahodha wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo, amesema kuwa Yanga bado wapo kwenye mazungumzo na uongozi wake. Mangalo amekuwa akihusishwa na Simba na Yanga tangu usajili wa dirisha kubwa msimu huu ufunguliwe.

Kwa upande wa beki huyo anasema hana ushabiki wowote na ataenda popote watakapoonyesha kumhitaji. Akizungumza na Championi Jumatatu Mangalo amesema kuwa:

“Nasikia Yanga wapo kwenye mazungumzo na uongozi wangu na mimi nitaenda pale ninapohitajika. “Kwa sasa naweka akili yangu kwenye michuano ya Cecafa Chalenji huku Ethiopia, nitakaporejea nitajua kila kitu,” alisema Mangalo.

Careen Oscar, Dar es Salaam

The post Beki Matata Afungukia Usajili Wake Simba, Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz