AZAM FC YAIONJESHA TRANSIT CAMP LADHA ZA LIGI KUU, YAICHAPA MABAO 2-1 LEO KATIKA MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YAIONJESHA TRANSIT CAMP LADHA ZA LIGI KUU, YAICHAPA MABAO 2-1 LEO KATIKA MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na viungo Frank Raymond Domayo dakika ya 40 na Valentino Mashaka Kusengama dakika ya 74 aliyepandishwa kutoka timu ya vijana, wakati la Trans Camp limefungwa na Khamis Salum dakika ya 77.
Kwa Azam FC mchezo huu ni sehemu ya kujiweka sawa kwa mechi zake za mwisho za Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyofikia uingoni.


Na Transit Camp inajiandaa kwa mchezo maalum wa mchujo wa kuwania kupanda Ligi Kuu dhidi ya moja ya timu mbili za ligi hiyo zitakazomaliza nafasi ya 13 na 14.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz