AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA MSIMU UJAO, YAMSAJILI NA KIUNGO WA KIMATAIFA WA KENYA, KENNETH MUGUNA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE KUELEKEA MSIMU UJAO, YAMSAJILI NA KIUNGO WA KIMATAIFA WA KENYA, KENNETH MUGUNA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya, Kenneth Muguna, kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Gor Mahia ya kwao.
Muguna ambaye mkataba huo utamfanya aitumikie Azam FC hadi mwaka 2023 ni miongoni mwa nyota wanaotamba kwenye soka la Kenya, msimu huu akifanikiwa kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la FA la nchini huko, iliyomalizika kwa timu yake ya Gor Mahia kuibuka mabingwa wa michuano hiyo.
Huyo anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Azam FC kuelekea msimu ujao, baada ya nyota wawili kutoka Zambia, Charles Zulu, Rodgers Kola na beki mzawa wa kushoto, Edward Manyama.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz