Argentina Yachukua Ubingwa Copa America-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Argentina Yachukua Ubingwa Copa America-Michezoni leo

TIMU ya taifa ya Argentina imetwaa taji la Copa America baada ya ushindi wa bao 1-0 mbele ya Brazil katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa kuamkia leo.

Ni Angel Di Maria alipachika bao la ushindi dk 22 ambalo lilidumu mpaka dakika ya 90. Argentina pia ilipiga jumla ya mashuti 6 huku mawili yakilenga lango na Brazil wao walipiga 13 na mawili yalilenga lango.

Licha ya uwepo wa staa wa Brazil Neymar Jr ndani ya kikosi hicho bado alishindwa kuipa ushindi timu hiyo ambayo ilikuwa inapambana na staa wa Argentina, Lionel Messi.

Ilikuwa ni fainali ya kibabe Uwanja wa Maracana ambayo ilishuhudia jumla ya kadi 9 za njano zikitolewa ambapo Argentina wao walionyeshwa 5 na Brazil 4.

The post Argentina Yachukua Ubingwa Copa America appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz