ARGENTINA WAIPIGA BRAZIL 1-0 NA KUTWAA TAJI LA COPA AMERICA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARGENTINA WAIPIGA BRAZIL 1-0 NA KUTWAA TAJI LA COPA AMERICA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya taifa ya Argentina imetwaa ubingwa wa michuano ya Copa America baada ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brazil Alfajiri ya leo Uwanja wa Jornalista Mario Filho, au Maracana Jijini Rio de Janeiro.
Bao pekee la Argentina limefungwa na รngel di Maria dakika ya 22 akimalizia pasi ya Rodrigo de Paul, hilo likiwa taji la kwanza kwao la michuano mikubwa baada ya miaka 28.
Furaha kubwa ilikuwa kwa Nahodha, Lionel Messi ambaye ametwaa taji la kwanza la Copa America na kwa ujumla la kwanza kubwa akiwa na timu ya taifa.


Hali ilikuwa tofauti kwa Nahodha wa Brazil, Neymar Junior aliyeangua kilio uwanjani akimwaga machozi kwa huzuni baada ya kushindwa kuisaidia Brazil kutwaa taji nyumbani. 
Pamoja na huzuni hiyo, Neymar anayechezea Paris Saint-Germain ya Ufaransa kwa sasa alijikongoja na kwenda kumpongeza Messi, mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona.
Hilo linakuwa taji la 15 Argentina baada ya awali kulibeba 1921, 1925, 1927, 1929, 1937, 1941, 1945, 1946, 1947, 1955, 1957, 1959, 1991 na 1993, wakati Brazil imetwaa mataji tisa tu 1919, 1922, 1949, 1989, 1997, 1999, 2004, 2007 na 2019. Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz