ARGENTINA IMETINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA, URUGUAY NJE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARGENTINA IMETINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA, URUGUAY NJE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya taifa ya Argentina imetinga Nusu Fainali ya michuano ya Copa America kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ecuador Alfajiri ya leo Uwanja wa Pedro Ludovico Teixeira Jijini Goias, Brazil.
Mabao ya Argentina yamefungwa Rodrigo De Paul dakika ya 40 na Lautaro MartΓ­nez dakika ya 84, wote wakimalizia pasi za Nahodha, Lionel Messi ambaye naye alishindilia msumari wa mwisho dakika ya 90 na ushei na sasa itakutana na Colombia iliyoitoa Uruguay kwa penalty 4-2 kufuatia sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa wa Brasilia. 
Nusu Fainali ya kwanza itakuwa Jumanne; Brazil na Peru, wakati Argentina na Colombia watamenyana na Jumatano. Brazil iliichapa Chile 1-0, bao pekee la Lucas Paqueta dakika ya 46 na Peru ilishinda kwa penalti 4-3 dhidi ya Paraguay kufuatia sare ya 3-3 usiku wa kuamkia jana.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz