AL AHLY WAICHAPA KAIZER CHIEFS 3-0 NA KUTWAA UBINGWA WA 10 AFRIKA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AL AHLY WAICHAPA KAIZER CHIEFS 3-0 NA KUTWAA UBINGWA WA 10 AFRIKA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Al Ahly ya Misri imefanikiwa kutwaa tena taji la Ligi ya Mbingwa Afrika baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini usiku huu Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco.
Iliwabidi Ahly kusubiri hadi beki wa Kaizer Chiefs, Happy Mashiane atolewe kwa kadi nyekundu dakika ya 45 ili kuanza kushangilia mabao yao yaliyowapa taji la 10 la michuano hiyo.
Kiungo Mohamed Sherif aliifungia Ahly bao la kwanza dakika ya 53 akimalizia pasi ya Akram Tawfik kabla ya yeye mwenyewe kuwasetia Mohamed Magdi Kafsha kufunga la pili dakika ya 64 na Amr Al Sulaya la tatu dakika ya 74.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz