Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la Shirikisho-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la Shirikisho-Michezoni leo

TIMU ya Wananchi Yanga Imefanikiwa kutinga Hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup)  baada ya kuitungua Biashara United kwa bao 1-0, kwenye mchezo uliochezwa Leo Juni 25, kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora.

Bao pekee la Yanga kwenye mchezo huo limefungwa na Yacouba Sogne dakika ya 22 ya mchezo baada ya kupokea pasi kutoka kwa Feisal Salum ‘Fei Toto’.

Mara ya mwisho Yanga kucheza fainali ya michuano hii ilikuwa msimu wa 2015-16 ambapo waliibuka mabingwa kwa kuifunga Azam FC, mabao 3-1.

Kwenye mchezo wa fainali timu ya Wananchi watacheza na mshindi wa mchezo wa nusu fainali ya Pili itakayo chezwa kesho Juni 25, 2021, huko Songea mkuani Ruvuma kwenye uwanja wa Majimaji ambapo Mabingwa watetezi Simba Sc watakuwa wakicheza na Azam FC.

Mchezo wa fainali ya michuano hii msimu huu 2020/21 utachezwa uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

The post Yanga Yatinga Fainali ya Kombe la Shirikisho appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz