Yanga: Ubingwa ni Wetu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga: Ubingwa ni Wetu-Michezoni leo

OFISA Habari wa Yanga, Hassani Bumbuli, amefunguka kuwa, anaona matumani ya kuchukua ubingwa yapo karibu kwa upande wao kutokana na kikosi chao kuzidi kuimarika kila siku.

Yanga ipo katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, huku ikiwa na pointi 67 ikiongozwa na kinara wa Simba wenye pointi 73.

Akizungumza na Spoti Xtra, Bumbuli alisema kuwa kila kitu kipo katika utaratibu wake katika suala la maandalizi, kwa hiyo wamejipanga kuchukua ubingwa wa FA.

“Maandalizi yanaendelea vizuri kama kawaida, niseme tu kwamba tumejipanga kuchukua ubingwa katika pande zote.

Kikosi chetu kinazidi kuimarika kila siku na sitaki kuongea sana, lakini mtajionea wenyewe kinachoenda kutokea, lazima tuchukue ubingwa,” alisema Bumbuli.Julai 25, mwaka huu, Yanga na Simba zinatarajiwa kupambana katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam maarufu FA.

STORI NA HAWA ABOUBAKHARI, DAR

The post Yanga: Ubingwa ni Wetu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz