YANGA SC YATINGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA YA USHINDI WA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 1-1 NA AZAM FC LEO CHAMAZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA SC YATINGA FAINALI LIGI YA VIJANA U20 BAADA YA USHINDI WA PENALTI 6-5 KUFUATIA SARE YA 1-1 NA AZAM FC LEO CHAMAZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

 YANGA SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa penalti 6-5 kufuatia sare ya 1-1 na Azam FC leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Abdulkarim Yunus alianza kuifungia Yanga B dakika ya 69, kabla ya Ibrahim Issa kuisawazishia Azam Akademi dakika ya 86 na ndipo Watoto wa Jangwani wakaenda kukata tiketi ya Fainali kwenye matuta baada ya matokeo ya 1-1 kudumu ndani ya dakika 120.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz