YANGA SC YATINGA FAINALI ASFC BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE TABORA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA SC YATINGA FAINALI ASFC BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE TABORA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara United jioni ya leo Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne aliyefunga bao hilo dakika ya 22 akimalizia pasi ya kiungo Mzanzibar, Feisal Salum Abdallah.
Yanga sasa watakutana na mshindi kati ya mabingwa watetezi, Simba SC na Azam FC zinazomenyana kesho katika Nusu Fainali nyingine Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz