YANGA B YAPANDA KILELENI KUNDI A LIGI KUU YA VIJANA U20 BAADA YA KUICHAPA JKT TANZANIA 2-0 CHAMAZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA B YAPANDA KILELENI KUNDI A LIGI KUU YA VIJANA U20 BAADA YA KUICHAPA JKT TANZANIA 2-0 CHAMAZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Yanga jana imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jijila Dar es Salaam.
Katika mchezo huo wa Kundi A Hatua ya Nane Bora, mabao ya Yanga B inayofundishwa na Said Maulid 'SMG' yalifungwa na Yohana Ndushi dakika ya 58 na Abby Mikimba dakika ya 77.
Yanga SC inafikisha pointi nne baada ya mechi mbili, kufuatia sare ya bila kufungana na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa ufunguzi Alhamisi na kuongoza kundi hilo kwa wastani wa mabao.
Ligi ya Vijana U20 inatarajiwa kuendelea leo kwa mechi mbili za Kundi B; Tanzania Prisons dhidi ya Mtibwa Sugar Saa 1:00 usiku na Kagera Sugar na Azam FC Saa 3:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz