Waziri Innocent Bashungwa ampongeza Diamond Platnumz kuingia tuzo za BET - EDUSPORTSTZ

Latest

Waziri Innocent Bashungwa ampongeza Diamond Platnumz kuingia tuzo za BETKupitia ukurasa wake wa Instagram Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameandika kupitia ujumbe huu.“Ushindani wa ndani ni wa afya kwa sanaa yetu kwani unahamasisha ubunifu na kuongeza thamani kwenye kazi za sanaa. Inapotokea ushindani ni baina ya Mtanzania mwenzetu na watu wa nchi nyingine ushindani tunauweka pembeni na kutanguliza uzalendo tukitambua ushindi wa Mtanzania mmoja ni sifa kwa Taifa zima hususani tasnia husika.

Nampongeza @diamondplatnumz kwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za BET kama msanii pekee toka Afrika Mashariki, naamini ataileta tuzo hii nchini “Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz