WAWILI WAJITOKEZA KUMNG'OA WALLACE KARIA TFF, WACHUKUA NAYE FOMU LEO KUWANIA URAIS KATIKA UCHAGZI WA AGOSTI 7 TANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

WAWILI WAJITOKEZA KUMNG'OA WALLACE KARIA TFF, WACHUKUA NAYE FOMU LEO KUWANIA URAIS KATIKA UCHAGZI WA AGOSTI 7 TANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 
WADAU wawili wamejitokeza kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya Wallace John Karia anayeshikilia nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 7 mwaka huu Jijini Tanga.
Hao ni Evans Mgeusa na Zahor Mohamed Hajji ambao wote wamechukua fomu leo kwa gharama ya Sh. 500,000 pamoja na Karia.
Zoezi la uchukuaji fomu linatarajiwa kuendelea hadi Jumamosi Saa 10:00 jioni makao makuu ya TFF, Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam au kupitia tovuti ya shirikisho hilo.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz