WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA KUFUNGUA DIMBA KATIKA LIGI KUU YA VIJANA U20 JUNI 10 AZAM COMPLEX-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA KUFUNGUA DIMBA KATIKA LIGI KUU YA VIJANA U20 JUNI 10 AZAM COMPLEX-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 WAPINZANI wa jadi, Simba na Yanga wamepangwa kundi moja , A katika Ligi Kuu ys Vijana chini ya umri wa miaka 20 inayotarajiwa kuanza Juni 10 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Na watani hao wa jadi watakaofungua dimba siku hiyo Saa 3:00 usiku, mchezo ambao utatanguliwa na mechi nyingine ya kundi hilo baina ya JKT Tanzania na Mwadui FC Saa 1:00 usiku.
Mechi za kwanza za Kundi B zitafuatia Juni 11, Tanzania Prisons na Kagera Sugar Saa 1:00 na Azam FC dhidi ya mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar Saa 3:00 usiku.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz