Walter Bwalya: Mpango Wangu Kuja Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Walter Bwalya: Mpango Wangu Kuja Simba-Michezoni leo

LICHA ya kuwa kwenye mpango wa kuachwa kwenye kikosi cha Al Ahly kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango, mshambuliaji wa timu hiyo, Walter Bwalya raia wa DR Congo amesema kuwa bado hajawa na mpango wa kujiunga na timu yoyote nchini, ikiwemo Simba.

 

Bwalya amejiunga na Al Ahly mapema mwaka huu kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu akitokea Al Gouna zote zikiwa za Misri lakini ameshindwa kuonyesha kiwango katika safu ya ushambuliaji wa timu hiyo inayonolewa na Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ambaye alipendekeza usajili wa mshumbualiji huyo kabla ya kuibuka kwa suala la kutakiwa kuachwa.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa,Bwalya alisema kuwa mipango yake ni kuendelea kubakia kwenye timu hiyo na hana malengo yoyote ya kujiunga na klabu za Tanzania ikiwemo Simba.

 

“Nipo na timu ya taifa nyumbani, DR Congo, kuhusu suala na Simba au timu kutoka Tanzania, sijui chochote kwani mimi ni mchezaji wa Al Ahly na ndiyo sehemu ambayo yapo malengo yangu kwa sasa kuhakikisha timu inafanya vizuri.

 

Lakini sijui kwa sasa kama nitaweza kucheza huko katika timu yoyote kwa sababu sijawa na mpango huo wala kufikiria maana nataka kuangalia malengo na mipango mingine katika sehemu ambayo nafanya kazi kwa sasa.

Stori: Ibrahim Mussa, Dar es Salaam

The post Walter Bwalya: Mpango Wangu Kuja Simba appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz