WALES YATINGA 16 BORA EURO 2020 LICHA YA KUCHAPWA 1-0 NA ITALIA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

WALES YATINGA 16 BORA EURO 2020 LICHA YA KUCHAPWA 1-0 NA ITALIA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
ITALIA imekamilisha mechi zake za Kundi A Euro 2020 kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Wales usiku huu, bao pekee la kiungo wa Atalanta,Matteo Pessina Uwanja wa Olimpico Jijini Roma.
Mechi nyingine ya kundi hilo, Uswisi imeichapa Uturuki 3-1 Uwanja wa Olimpiya mjini Baku nchini Azerbaijan.
Mabao ya Uswisi yamefungwa na Haris Seferoviฤ‡ dakika ya sita na Xherdan Shaqiri mawili dakika ya 26 na 68, wakati la Uturuki limefungwa na ฤฐrfan Can Kahveci dakika ya 62.

Italia inamaliza na pointi tisa, ikifuatiwa na Wales yenye pointi nne na zote zinakwenda 16 Bora, wakati Uswisi iliyomaliza na pointi nne pia ikiziwa wastani wa mabao na Uturuki bila pointi zinaishia hapa.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz