UONGOZI WA AZAM FC WAZURU UBALOZI WA ZIMBABWE NCHINI KWA MWALIKO WA BALOZI ALIYEFURAHISHWA NA USAJILI WA WACHEZAJI KUTOKA KWAO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

UONGOZI WA AZAM FC WAZURU UBALOZI WA ZIMBABWE NCHINI KWA MWALIKO WA BALOZI ALIYEFURAHISHWA NA USAJILI WA WACHEZAJI KUTOKA KWAO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 UONGOZI wa Azam FC leo umetembelea Ubalozi wa Zimbabwe hapa nchini kwa mwaliko maalumu kutoka kwa Balozi wa nchi hiyo, Luteni Generali Mstaafu, Anslom Sanyatwe.
Viongozi wa Azam FC, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti, Omary Kuwe na Afisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', waliongoza msafara mzima ulioambatana wachezaji wa timu hii kutoka nchini Zimbabwe.
Wachezaji hao ni mshambuliaji kinara, Prince Dube, beki kisiki wa kushoto, Bruce Kangwa, kiungo machahari, Never Tigere, sambamba na Mtaalamu wa sayansi ya michezo, Nyasha Charandura.


Balozi huyo aliipongeza Azam FC kwa kutoa nafasi kwa wachezaji kutoka Zimbabwe, huku akiwataka wachezaji hao kutumia vema nafasi hiyo kwa kupeperusha vyema bendera ya nchi hiyo na kuisaidia timu hiyo ya Tanzania.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz