UJERUMANI YAZINDUKA NA KUICHAPA URENO YA RONALDO 4-2 MUNICH-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

UJERUMANI YAZINDUKA NA KUICHAPA URENO YA RONALDO 4-2 MUNICH-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
UJERUMANI imezinduka na kuichapa Ureno 4-2 katika mchezo wa Kundi F Euro 2020 leo Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich.
Mabao ya Ujerumani yamefungwa na RΓΊben Dias dakika 35, Raphael Guerreiro dakika ya 39 wote wakijifunga, Kai Havertz dakika ya 51 na Robin Gosens dakika ya 60, wakati ya Ureno yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika 15 na Diogo Jota dakika ya 67.
Ujerumani sasa ina pointi tatu sawa na Ureno, wakiwa nyuma ya Ufaransa inayoongoza kwa pointi zake nne na mbele ya Hungary yenye pointi moja baada ya mechi mbili mbili za mwanzo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz