UHOLANZI YAICHAPA UKRAINE 3-2 AMSTERDAM EURO 2020-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

UHOLANZI YAICHAPA UKRAINE 3-2 AMSTERDAM EURO 2020-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
UHOLANZI imeanza vyema Euro 2020 baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Ukraine katika mchezo wa Kundi C jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam.
Mabao ya Uholanzi yalifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 52, Wout Weghorst dakika ya 58 na Denzel Dumfries dakika ya 85, wakati ya Ukraine yalifungwa na Andrii Yarmolenko dakika ya 75 na Roman Yaremchuk dakika ya 79.
Nayo Austria iliichapa 3-1 Macedonia Kaskazini katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Taifa wa in Bucharest nchini Romania, wakati England iliichapa Croatia 1-0 Uwanja wa Wembley.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz